Home Habari za michezo LILE JAMBO LA YANGA MSIMU HUU …KUTEKELEZWA NAMNA HII…VIGINGI NA VIKWAZO VYOTE...

LILE JAMBO LA YANGA MSIMU HUU …KUTEKELEZWA NAMNA HII…VIGINGI NA VIKWAZO VYOTE KWA MWEZI NI PAMOJA NA HIVI…


HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:-

 Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.

Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku.

Septemba 17,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Zalan, Uwanja wa Mkapa, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 29,2022, Ihefu v Yanga, Uwanja wa Highland Estate.

SOMA NA HII  PHIRI MAMBO MAGUMU SIMBA, MKATA UMEME KUTOKA TOGO HUYU HAPA MSIMBAZI