Habari za michezo

BAADA YA SOKA LA KIBABE JANA….HII HAPA RATIBA NZIMA YA MPAPATUKO WA LIGI KUU YA NBC KWA LEO…USIKOSE….

admin September 7, 2022 10:31 am


LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu.

Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake.

Pointi sita wanazo Simba wakiwa nafasi ya pili na KMC ina pointi moja baada ya kucheza mechi mbili.

Mtibwa Sugar watawakaribisha Ihefu FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Manungu.

MWAMUZI WA YANGA vs AZAM AKALIWA KOONI….KACHAMBULIWA NA KUSASAMBULIWA KAMA MCHELE… RASMI….TFF WAKUBALI KUKAA KIKAO KUJADILI ISHU YA KISINDA NA ONYANGO…HAKUMU ZAO KUSOMWA IJUMAA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply