Habari za michezo

BILIONEA WA CHELSEA AJILIPUA KWA KOCHA MPYA….AMPA MKATABA AMBAO HAKUNA KLABU YA EPL INGEWEZA KUFANYA…

admin September 9, 2022 11:02 am


THOMAS Tuchel alifutwa kazi ndani ya Klabu ya Chelsea baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Dinamo Zagreb.

Mbali na kichapo hicho pia Tuchel hakuwa na mwendo mzuri kwenye mechi za Ligi Kuu England msimu wa 2022/23.

Ni Graham Potter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Brighton ametangazwa kuwa kocha mpya kwa dili la miaka mitano na alikutana na mmiliki wa Chelsea Todd Boehly siku ya Jumatano na kufanya naye mazungumzo.

Anakuwa ni kocha wa kwanza kupewa dili ndani ya Chelsea chini ya utawala wa mmiliki mpya wa timu hiyo ambaye amebainisha kuwa anatambua uwezo wake na wana imani naye.

UWANJA WA MAJALIWA SASA RASMI KWA MATUMIZI….NAMUNGO FC MENO NNJE…LUSAJO ATIA NENO… JACKPOT ZA KIBABE NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET…!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply