Habari za michezo

ISHU YA KUWA KOCHA MKUU KABISA…AHMED ALLY ‘AMSILIBIA DOLE GUMBA MGUNDA’ …ADAI TIMU ILIKUWA HAIPAMBANI…

admin September 17, 2022 5:09 pm


Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema Kocha Mkuu wao wa muda Juma Mgunda anatosha kuifundisha klabu hiyo licha ya kuwa mchakato wa kumtafuta kocha wa kudumu unaendelea.

Ahmed amesema, Kocha huyo ana hadhi ya kuifundisha Simba kwa sababu anayo leseni A na alipoingia, ameonesha kitu cha tofauti.

“Anatosha, ni kocha mwenye viwango kwa maana amesom kuanzia hatua ya kwanza hadi hatua hiyo ya juu. Mgunda tangu amefika ameonesha kitu cha tofauti. Timu inapambana, Ile hali ya kupambana ndio ilikosekana Simba kwa mechi zile za awali licha ya kuwa tulishinda,” alisema Ahmed.

KUEPUSHA AIBU KESHO….MGUNDA AHAIDI  ‘KUNG’ATA MENO’ DHIDI YA WAMALAWI…TSHABALALA ATAJA ‘UCHAWI’…. MAN CITY WAZIDI KUKIWASHA EPL….’JINI LA MAGOLI’ HAALAND AZIDI KUTETEMA KAMA MAYELE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply