Home Habari za michezo TFF BAANA….WAKATI YANGA WAKILIA LIA KUHUSU KISINDA WAO…WENYEWE WAMEAMUA KUWAJIBU HIVI…’SIMPO’ TU…

TFF BAANA….WAKATI YANGA WAKILIA LIA KUHUSU KISINDA WAO…WENYEWE WAMEAMUA KUWAJIBU HIVI…’SIMPO’ TU…


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa majina ya wachezaji wa Kigeni kwa Timu zitakazoshiriki mashindano ya Kimataifa, tayari yameshapitishwa kwa hiyo timu inayojaribu kuingiza jina jipya ni kukiuka kanuni za TFF.

Hayo yameelezwa kupitia taarifa ya Shirikisho hilo iliyotolewa leo ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kusambaa kuwa mchezaji mpya wa Yanga, raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda usajili wake umekataliwa na TFF.

Wacheaji wa kigeni Yanga:

1.Djigui Diara 2.Djuma Shaban 3.Yannick Bangala 4.Joyce Lomalisa 5.Bernard Morrison 6.Khalid Aucho 7.Gael Bigirimana 8.Tuisila Kisinda 9Azizi Ki 10.Heritier Makambo 11.Fiston Mayele 12.Jesus Moloko 13.Lazarous Kambole

SOMA NA HII  HII HAPA SLOT YA MAPESA ILIYOFANYIWA UTAFITI NA WATAALAMU WA KUBETI...