news

TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…

admin October 13, 2022 7:06 am

Timu ya taifa ya wasichana U17 (Serengeti Girls) imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo wa Kundi D jana jioni Uwanja wa Jawaharlal Nehru (Fatorda Stadium) huko Margao, Goa nchini India.

Serengeti Girls itateremka tena dimba Jumamosi kumenyana na Ufaransa katika mechi wake wa pili wa Kundi D – kabla ya kukamilisha mechi zake za Kundi hilo kwa kumenyana na Canada Jumanne ijayo.

PAMOJA NA TIMU KUPATA MATOKEO…MGUNDA AVUNJA UKIMYA SIMBA…AANIKA ANACHOKITAKA ILI AFANYE KAZI VIZURI… KUHUSU KIWANGO CHA SHOMARY KIBWANA…ZAHERA ASHINDWA KUJIZUIA….AMTAJA MCONGO MWENZAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply