CAF
WAPINZANI WA SIMBA CAF WAFANYA KUFRU….WAMFUNGA MTU GOLI 15-1…ALAFU HAWARINGI WALA NINI…
admin
October 15, 2022
10:08 am
Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeikandamiza klabu ya Le Passe ya vusiwa vya Ushelisheli jumla ya Magoli 8-1 na kutinga hatua ya makundi #CAFCL kwa ushindi wa jumla wa 15-1.
Mamelodi almaarufu The Brazilians walishinda 7-0 kwenye mchezo wa kwanza.
FT: SUNDOWNS 8-1 LE PASSE (Agg 15-1)
Morena ⚽️
Mailula ⚽️⚽️⚽️
Motupa ⚽️⚽️
Domingo ⚽️
Maema ⚽️
Mamelod ni miongoni mwa klabu ambazo huenda ikapangwa na Simba au Yanga kwenye hatua ya makundi ligi ya Mabingwa msimu huu.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.