Habari za michezo

DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA…MGUNDA AWAPITISHA …

admin October 15, 2022 10:16 am

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mgunda aliondoka na majina ya John Mano, Dago Tshibamba kiungo mshambuliaji aliyefunga bao la kufutia machozi kwa penalti na Vidinho ambao walikuwa mwiba kwenye mchezo huo wa ugenini huku akipania kishindo cha aina yake kuipeleka Simba hatua ya makundi.

WAPINZANI WA SIMBA CAF WAFANYA KUFRU….WAMFUNGA MTU GOLI 15-1…ALAFU HAWARINGI WALA NINI… MERIDIANBET WAWAFIKIA WAFANYA BIASHARA ZAIDI YA 300 DAR ES SALAAM….!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA…MGUNDA AWAPITISHA …”

  1. Baraka musimu ersto says:

    Comment: wanayana vnataka wachezaji wazur watakao tupatia ubingwa wa ligi kuu ya NBC Pamoja na mkombe mengne

Leave a Reply