Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ubashiri wake? soma hapa!
Mteja wetu makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga *149*10# alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo mengi yaliyopo Meridianbet pekee.
Bingwa wetu wa beti alichangamkia uwanja mpana wa machaguo na kubashiri mechi za Ligi ya Tanzania, La Liga, Serie A na Ligue 1.
Kwa upande wa Ligi ya Tanzania, alichagua kubashiri mechi yaIhefu dhidi ya Dodoma FC na ubashiri wake wa 1X, kuwa mwenyeji ashinde au atoe sare – ubashiri uliokuwa na odds ya 1.31.
Huku La Liga, bingwa wetu alichagua kubashiri Real Madrid dhidi ya Barcelona na kumpa ushindi Real Madrid kwa odds 2.35.
Ligue 1 pia ilijumuishwa kwenye mkeka wa bingwa huyu, mechi ya Estac Troyes dhidi ya Ec Ajaccio akiweka ubashiri wa 1X, kuwa mwenyeji apate ushindi au mechi iishe kwa sare. Ubashiri huu ulikuwa na odds 1.32.
Tiketi ya bingwa yote ilikamilishwa kwa ubashiri wa mechi saba, wenye jumla ya Odds 24.6 huku dau lake likiwa ni shilingi 100,000. Tiketi hii imemuacha na mwanzo mwema wa juma akiwa ameweka kibindoni milioni 2,445,660 TZS.
Meridianbet wanakuhakikishia machaguo kibao unapoamua kufanya ubashiri wa michezo kupitia tovuti na kwa USSD. Unaweza kubashiri bila intaneti wakati wowote kwa kupiga *149*10# wakati wowote.