Burudani

WATZ WALIOTIKISA ‘GOT TALENT’ WAFUNGUKA WALIPOANZIA…WADAI HAIKUWA RAHISI..

admin October 20, 2022 3:26 pm

Watanzania Ibrahim Ramadhan na Fadi Ramadhan almaarufu Ramadhan Brothers, waliong’ara katika mashindano ya Australia’s Got Talent yaliyofanyika usiku wa Jumapili, Oktoba 16, 2022, wamefunguka mambo mengi kuhusu maisha yao ikiwemo jinsi walivyoanza sarakasi.

Ramadhan Brothers wamesema walianza sarakasi tangu wakiwa watoto wadogo lakini walikuwa wakicheza mitaani mpaka walipokuja kugunduliwa vipaji vyao na kocha wao ambaye ndiye aliyewaunganisha kimataifa.

Ramadhan Brothers wamepita kwa kubonyezewa Golden Buzzers ambayo huheshimika duniani kote katika michezo mbalimbali na wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka washindi katika fainali zinazotarajiwa kumtoa mshindi mwezi ujao nchini Australia.

KUELEKEA MECHI YA KARIAKOO DABI…OKRAH NA PHIRI WAAPA ‘KUIHEMEA’ YANGA… KUELEKEA KARIAKOO DABI….MO DEWJI AMFUNIKA VIBAYA MNOO GSM…AWEKA MEZANI MIL 500 CASH…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply