Habari za Yanga SC
Habari za michezo

KUHUSU ISHU YA NABI KUFUKUZWA YANGA….ALLY KAMWE AANIKA ‘CODE’ ZA UKWELI WA MAMBO…

admin October 21, 2022 2:46 pm

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ametolea ufafanuzi taarifa mbalimbali ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na kufukuzwa kwa kocha wao mkuu Nasreddine Nabi kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.

Ally Kamwe amesema kwamba taarifa zinazosambaa ni mawazo na mitazamo ya wachambuzi wa soka hapa nchini na siyo msimamo wala mawazo ya uongozi wa klabu hiyo na hivyo basi wao wanamtambua Nabi kama kocha wao na hawana mpango wa kumfukuza kocha huyo.

KUELEKEA KARIAKOO DABI….CHAMA, PHIRI NA BOCCO WATOLEWA CHAMBO…AHMED ALLY AANIKA SABABU… BAADA YA MBAMBAMBA NYIINGIII…HATIMAYE YANGA KUITUMIA SIMBA KUTINGA MAKUNDI CAF..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply