Habari za michezo
MANARA ATUPA DONGO HILI JIPYA SIMBA…ADAI KILA ‘MBWA’ HUMJUA BOSS WAKE…
admin
October 21, 2022
9:12 am
Kutoka kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram wa aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga SC, Haji Manara ameandika
“Tukutane October 23 tuile Nyama yetu. Kila Mtu na Mtuwe na kila Mbwa humjua boss wake. Nunua sasa Tiketi yako mapema uone Mwali kwa Ngariba wake anavyokuwa Izeeeeeeeee, lainiiiiiiiiiii”
Oktoba 23, 2022 kutakuwa na mchezo kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ambapo wenyeji wa Mchezo huo watakuwa Yanga SC.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.