Habari za Yanga
Habari za michezo

BAADA YA KUVURUNDA…MORRISON AIANGUKIA YANGA….AOMBA MSAMAHA ADHARANI…

admin October 21, 2022 9:49 am

Staa wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison ameomba radhi wanachama, mashabiki na wapezi wa klabu hiyo baada ya kutolewa kwenye ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan.

Morrison amesema kwa sasa wanajipanga kufanya vizuri kwenye mechi za ligi na kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Afrika.

“Kwa uongozi na mashabiki wa Yanga, tunaomba watuwie radhi kutokana na matokeo mabaya na kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, nguvu yetu sasa tunaielekeza kwenye michuano mingine ya Ligi na Kombe la Shirikisho Afrika.

“Kwa sasa wachezaji hatuna mengine ya kusema zaidi ya kuwaomba radhi, tunaomba mtusamehe sana mashabiki, msivunjike moyo, endeleeni kutusapoti timu yetu,” amesema Morrison.

MANARA ATUPA DONGO HILI JIPYA SIMBA…ADAI KILA ‘MBWA’ HUMJUA BOSS WAKE… MIEZI KADHAA BAADA YA KUACHANA NA YANGA…NTIBAZONKIZA AVUNJA UKIMYA…AIBUKA NA HAYA MAPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply