Habari za Michezo leo
Habari za michezo

ALLY KAMWE :- TUMESHTUSHWA NA PROPAGANDA ZA SIMBA…KESHO WATAONA UBOVU WETU…

admin October 22, 2022 7:16 pm

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa siku ya Jumapili watakwenda kuwaonesha watani Simba kuwa wao sio wabovu kisa kufungwa na Al Hilal FC kunako Ligi ya Mabingwa Afrika.

”Tunakwenda kuwajibu Simba kwa vitendo, tumeshtushwa na propaganda za kusema kuwa Yanga ni mbovu. Sisi Klabu Bingwa Afrika tulishindwa kutimiza malengo yetu lakini haimaanishi sisi sio bora.”

Yanga inajipanga kukabiliana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa siku ya Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

KUELEKEA KARIAKOO DABI….PUMZI YA SIMBA IKO HAPA….YANGA MTAPIGWA KAMA NGOMA… ACHANA NA KAYOKO…HAWA HAPA WAAMUZI WA FIFA WATAKAOCHEZESHA YANGA vs SIMBA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply