Habari za michezo

KUELEKEA MECHI YA KESHO…ZAHERA AMNYOOSHEA KIDOLE MAYELE…AFUNGUKA SIMBA WALIVYO…

admin October 22, 2022 1:44 pm

Kocha Mwinyi Zhera amedai kuwa kuelekea kwenye mchezo wa derby ya Kariakoo baina ya Yanga dhidi ya Simba myama atakufa uwanjani siku hiyo licha ya mchezo kuwa mgumu.

Zahera amesema hayo kupitia east africa radio huku akiongeza kuwa Simba itaingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kujiamini hasa kutokana na maendeleo yake mazuri kimataifa.

”Nadhani tutashinda mchezo wa derby, tunao wachezaji wenye uwezo, ila itakuwa mechi ngumu sababu ile ni derby, wenzetu wataweza kujiamini kwa sababu wamefanikiwa Afrika lakini ni derby, atakama mechi itakuwa ngumu lakini tutashinda.”

”Yanga haimtegemei Mayele tu, Feisal anaweza kufunga magoli mengi ya mbali, Aziz Ki anaweza pia kufunga na mechi hii mimi nawaambia tunashinda.’

MZUKA WA MECHI ZENYE ODDS KUBWA WIKI HII UKO HIVI NDANI YA MERIDIANBET… KUELEKEA MECHI YA DABI KESHO…UKUTA WA SIMBA KIBOKO AISEE…TAKWIMU HIZI HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply