CAF

KOSA KOSA ZA GOLI ZAUA SHABIKI UWANJANI….

admin October 23, 2022 7:43 pm

Shabiki wa AS Vita aliyefahamika kwa jina la Eulethere Bidikamona (57) alipoteza maisha juzi baada kosakosa ya goli katika nafasi ya mwisho katika ya mchezo wa marudiano dhidi RC Kadiogo mechi iliyoamuliwa kwa mikwaju ya penati.

Mpira uligonga nguzo ya kulia ya lango la Kadiogo katika dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza.

As Vita walifanikiwa kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya Penati 4-3.

FT: YANGA 1-1 SIMBA….AZIZ KI AKIMBIA NA FUKO LA MAMILIONI YA KINA OKRAH… ISHU YA ‘SOPU’ YAIPASUA KICHWA AZAM FC…WACHUKUA MAAMUZI HAYA MAGUMU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply