Habari za michezo

HUU HAPA WASIFU WA KOCHA MPYA YANGA…KASHAFUNDISHA TIMU LIGI KUU BRAZILI…

admin October 25, 2022 1:46 pm

Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda.

Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar es Salaam lakini juzijuzi aliiondosha TP Mazembe nyumbani kwao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tena akiipigia mpira mwingi kwa kutumia kikosi chenye thamani ambayo haifikii ile ya Yanga.

WASIFU WA OLIVIERA

  • Jina: Robertinho Oliveira
  • Kuzaliwa: 22 Juni 1960,Brazil

Alicheza:

  1. 1978–1982: Fluminense (Brazil)
  2. 1983: Flamengo (Brazil)
  3. 1984: Palmeiras (Brazil)
  4. 1985–1986: Flamengo (Brazil)
  5. 1987: Internacional (Brazil)
  6. 1988: Sport (Brazil)
  7. 1989: Atlético Mineiro (Brazil)
  8. 1989–1993: Nacional (Ureno)
  9. 1994–1995: Grössembacher (Brazil)
  10. Timu ya Taifa: Brazil (1980)

Alikofundisha:

  1. 1995: Grössembacher (Brazil)
  2. 1995–1997: Rio Branco (Brazil)
  3. 1998–1999: Brasil de Pelotas (Brazil)
  4. 1999–2000: São Bento (Brazil)
  5. 2000–2002: Fluminense (Brazil)
  6. 2003: Clube de Regatas Brasil (Brazil)
  7. 2003–2004: Centro Sportivo Alagoano (Brazil)
  8. 2004: America (Brazil)
  9. 2004–2005: Rio Branco (Brazil)
  10. 2005–2008: Stade Tunisien (Tunisia)
  11. 2008–2009: Kazma (Kuwait)
  12. 2009: Al-Shamal (Qatar)
  13. 2009–2010: Hammam-Sousse (Tunisia)
  14. 2010–2011: Legião (Brazil)
  15. 2012–2013: Stade Gabèsien (Tunisia)
  16. 2013–2014: Grombalia Sports (Tunisia)
  17. 2014–2016: Atlético Sport Aviação (Angola)
  18. 2018–2019: Rayon Sports (Rwanda)
  19. 2020 -2021: Gor Mahia (Kenya)
  20. 2021/22– Vipers
RASMI…OUATTARA AOMBA KUSEPA SIMBA…ASHINIKIZA ACHEZE BADALA YA ONYANGO… MWISHO WA ENZI….NABI KUTUPIWA VIRAGO YANGA…HOFU YATANDA KUHUSU KUIBUKIA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply