Habari za michezo

M-BET WAMWAGA MAMILIONI SIMBA QUEEN’S….BARBARA AFUNGUKA ‘WALIVYOVUTANA…’

admin October 26, 2022 2:53 pm

Klabu ya Simba Queens imelamba dili la udhamini kutoka kwa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet lenye thamani ya shilingi Bilioni 1.

Simba Queens walelamba rasmi dili hilo leo Oktoba 26, 2022 ambapo CEO wa klabu, Barbara ameweka wazi kuwa, mkataba huo ni wa kwanza kwa upande wa timu za wanawake.

“Tulivutana kwa muda mrefu na M Bet mapaka kufikia dili hili. Tuliwashawishi kulingana na thamani ya Simba Queens na mashindano makubwa wanayokwenda kuwakilisha nchi hadi tukafikia hapa.

“Watatoa shilingi milioni mia mbili kwa mwaka kwa kipindi cha miaka mitano ambapo itawezesha Simba Queens katika shughuli zake mbalimbali ikiwemo kuonesha live mechi zake kupitia Simba App,” alisema Barbara.

GSM AZUIA NABI KUFUKUZWA…VIGOGO WATAFUTANA…MGUNDA AILIA ‘TAIMINGI’ AZAM FC… MZAMIRU AANIKA SIRI ZAKE SIMBA…AFUNGUKA ISHU YA MKUDE KUPIGWA BENCHI HUKU YEYE AKIANZA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply