Home Habari za michezo BAADA YA KUPIGWA NA WAARABU WEUSI…CAF WAIPA YANGA WAARABU WEUPE….WAKISHINDWA NA HAPO...

BAADA YA KUPIGWA NA WAARABU WEUSI…CAF WAIPA YANGA WAARABU WEUPE….WAKISHINDWA NA HAPO WATABAKI ‘KUCHAMBUA MCHELE’…

Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga hatimaye wameshusha pumzi baada ya kujua wanacheza na nani hatua ya mtoano kufuzu kwa makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga inakutana na Club Africain kutoka Tunisia ambao wametinga hatua hiyo baada ya kuvurumisha timu ya Kipanga FC ya Zanzibar mabao 7-0.

Yanga inaanzia nyumbani mchezo ambao utapigwa Novemba 2 huku ule wa marudiano utapigwa Novemba 9 nchini Tunisia.

SOMA NA HII  MASHABIKI SUDAN WAIPANIA KINOMA YANGA....WANUNUA TIKETI KWA 'UGWADU'....