Habari za michezo

MATOLA : NIMECHOKA KUGEUZWA KICHAKA CHA MATATIZO SIMBA….NINA NDOTO ZANGU NA MIMI…

admin November 5, 2022 2:58 pm

Kocha Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola amekanusha taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya mashabiki kuwa anaihujumu timu yake hasa inapopata matokeo mabaya.

“Haiwezekani mashabiki wanigeuze mimi kichaka cha lawama tena wakati mwingine wananipa tuhuma za kuhujumu timu. Inawezekana vipi mimi nikahatarisha kibarua changu kwa kuhujumu kazi yangu!

“Mimi nina ndoto za kuwa Kocha Mkubwa Afrika, siwezi kuingia kwenye kashfa za kuhujumu kazi yangu ninayoitegemea” – Selemani Matola – Kocha Msaidizi Simba SC.

JULIO : WAAMUZI BONGO ‘WANAIKOSTI’ YANGA KIMATAIFA…VIONGOZI WAO WAACHE UJANJA UJANJA… SIMBA WAFANYA MAAMUZI KWA MZAMIRU YASSIN…WAKENYA WAMBEBA ONYANGO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply