Habari za michezo

FT:SINGIDA BIG STAR 1-1 SIMBA SC….KAGERE AMWONEA AIBU INONGA…KIBU MHH…

admin November 9, 2022 6:27 pm

KLABU ya Simba Sc leo imeingia uwanjani kumefanyana na timu ya Singida Big Star mechi ambayo Simba Sc ikilazimisha sare ya 1-1 baada ya kusawazisha bao kipindi cha pili.

Singida Big Star walianza kupata bao kupitia kwa nyota wao Deus Kaseke akipokea krosi kutoka kwa Hamisi Ndamla katika dakika za mwazo kipindi cha kwanza.

Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Liti Mkoani Singida, timu ya Singida Big Star ilionesha kutawala mpira kipindi cha kwanza huku wakishambulia kwa kushtukiza ndipo wakapata bao la mapema.

Simba Sc iliwapumzisha baadhi ya mastaa wake akiwemo Okra pamoja na Manula huku Kakolanya akiaminiwa langoni.

GSM ATUMIA NJIA YA MO DEWJI YANGA IFUZU MAKUNDI…MASTAA YANGA KULAMBA BINGO NONO… SAA MOJA KABLA YA KUKIPIGA NA WAARABU…MATOKEO YAIBEBA YANGA..NABI AINGIA KININJA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply