Habari za michezo
BAADA YA KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA…GOMES AFANYA KWELI …AWAPA UBINGWA WAAABU…
admin
November 14, 2022
3:59 pm
Kocha wa zamani wa Klabu ya Simba SC, Didier Gomez ameiwezesha Klabu yake ya sasa ya Al-Wehdat SC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Jordan kutwaa Ubingwa wa Kombe la Jordan Cup Baada ya kuibuka na ushindi wa Goli 1-0 dhidi ya Al-Aqaba SC.
Fainali ya Kombe hilo imemalizika mda mfupi uliopita ambapo Gomez ameiwezesha Klabu hiyo kushinda Ubingwa wa 11 wa Kombe hilo katika historia ya Klabu ya Al-Wehdat.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.