Hassan Mwakinyo
Burudani

MWAKINYO AZIDI KUPOROMOKA KIMATAIFA…HAYUPO TENA HATA KUMI BORA…

admin November 15, 2022 2:00 pm

KWENYE orodha ya mabondia 10 bora wa bara la afrika, kutoka madaraja yote ya uzito (P4P), taifa la Afrika Kusini limeongoza kwa kutoa mabondia 6.

Wengine ni kutoka taifa la DR Congo, Namibia na Ghana, Huku mabondia wa Tanzania wakiwa hawapo hata 20 bora.

Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:-
1.Ilunga Makabu

2.Thabiso Mchunu

3.Jeremia Nakathila

4.Martin Bakole

5.Richard Commey

6.Thulani Mbenge

7.Azinga Fuzile

8.Jackson Chauke

9.Kevin Lerena

10.Zolani Tete

23.Tony Rashid

24.Hassan Mwakinyo

37.Ibrahim Class

85.Juma Choki

86.Twaha Kiduku

208. Mfaume Mfaume

RASMI: PETER BANDA NNJE YA UWANJA MPAKA MWAKANI… KISA KUISEMEA YANGA…MANARA ‘APIGWA DONGO KIAINA’ NA KARIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply