Habari za michezo
Beki Shomary Kapombe alifuga bao la tatu kwa ushindi huo Simba wamerejea kileleni kwa kufikisha Pointi 27 na kuishusha Yanga hadi nafasi ya pili wakiwa na Pointi 26 nafasi ya tatu wakishika nafasi ya tatu wakiwa na Pointi 26,Simba na Azam FC wakiwa wamecheza mechi 12 kila moja na Yanga wakiwa wamecheza mechi 10.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.