Habari za Simba
Habari za michezo

HII HAPA ORODHA MPYA YA VINARA WA KUCHEKA NA NYAVU LIGI KUU TZ BARA…

admin November 19, 2022 6:04 am

Wachezaji 10 ambao ni vinara wa mabao kwa mechi zilizokwishachezwa kabla ya Novemba 18 katika michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ni kama ifuatavyo;

1. SIXTUS SABILO – Mbeya City (mabao 7)

2. MOSES PHIRI – Simba SC (mabao 6)

3. FISTON MAYELE – Yanga SC (mabao 6)

4. IDRIS MBOMBO – Azam FC (mabao 6)

5. RELIANTS LUSAJO – Namungo Fc (mabao 6)

6. FEISAL SALUM – Yanga SC (mabao 4)

7. MOUBARACK AMZA – Coastal Union (mabao 4)

8. ANUARY JABIR – Kagera Sugar (mabao 4)

9. MATHEO ANTHONY – KMC FC (mabao 4)

10. ABALKASIM SULEIMAN – Ruvu Shooting (mabao 4).

STRAIKA SIMBA AUKUBALI MZIKI YANGA…CHAMA APEWA KAZI MPYA SIMBA…KAGERE  ‘AMFUNDA’ MAYELE… AHMED ALLY: KIBU DENIS HAPASWI KUPEWA PRESHA…AKIPATIA ATAPATIA, AKIKOSEA ATAKOSEA TENA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply