Habari za michezo
HIVI NDIVYO MASTAA YANGA WALIVYOJIGAWIA TIMU ZA KUSHABIKIA KOMBE LA DUNIA…
admin
November 22, 2022
1:36 pm
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wametaja timu wanazozipatia nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa Kombe la Dunia ambapo michuano hiyo inaendelea huko Qatar.
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze yeye amesema amewapa nafasi kubwa Senegal na Argentina wataafika fainali na kombe ataabeba Argentina.
Wachezaji wametaja kama ifuatavyo;
➡️ Ufaransa
Fiston Mayele
➡️Argentina
Nkane Denis
Kibwana Shomari
Feisal Salum
➡️Brazil
Gael Bigirimana
Dickson Job
Ibrahim Bacca.
Mzize Clement
➡️Senegal
Ambundo Dickson
Kwa maana hiyo Brazil wamepewa nafasi kubwa ya kushinda ubingwa huo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.