Habari za michezo
Habari za michezo

FT: DODOMA JIJI 0-2 YANGA SC…MAYELE AMPA MTIHANI MWINGINE JOHN BOCCO…

admin November 22, 2022 6:38 pm

FISTON Kalala Mayele amendelea kutikisa nyavu ndani ya ligi kuu NBC baada ya leo kupachika mabao mawili na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji.

Mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Liti mkoani Singida tumeshuhudia wachezaji wengi wa Yanga kupata majeruhi kwenye mchezo huo akiwemo nahodha wao Bakari Nondo Mamnyeto na Feisal Salum.

Kipindi cha kwanza Yanga Sc ilikuwa mbele kwa bao 1-0, bao ambalo lilifungwa kabla ya kwenda mapumziko dakika ya 43 ya mchezo.

HIVI NDIVYO MASTAA YANGA WALIVYOJIGAWIA TIMU ZA KUSHABIKIA KOMBE LA DUNIA… ACHANA NA KILE KIPIGO KUTOKA YANGA …SINGIDA BIG STARS KUMBE WANAJAMBO LAO AISEE..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply