Habari za Simba
Habari za michezo

JEMEDARI SAID: INAKERA…YANGA WAKISHINDA WAMENUNUA MECHI… ILA SIMBA NI SAWA..?

admin November 22, 2022 5:55 am

Baada ya kuzuka kwa tabia ya watu kuzusha maneno ya rushwa pindi timu za Simba na Yanga zinapopata matokeo mbele ya timu zingine za Ligi Kuu Tanzania Bara.

mchambuzi mahiri wa masuala ya Soka Jemedari said ameibuka na kukemea suala hilo huku akusisitiza ubora wa vikosi hivyo , walimu wenye uwezo ndio hasa siri ya kufanya vyema katika michezo yao.

“imeanza kuudhi Simba wakishinda na Yanga wakishinda. Linatokea kundi la watu unaowaamini na wanasema kuwa ushindi huo una makandokando ya Rushwa. Umefika muda wa wadau kutoa ushirikiano kwa Vyombo vya Uchunguzi. Watu ni kama vile hawaamini tena kama timu zetu zinaweza kushinda kwa kushindana kiwanjani. Wanaoamini kama kuna mambo hayo watoe ushirikiano. Kama hawawezi kutoa ushirikiano hakuna sababu ya haya mambo kuzungumzwa. Mimi nimecheza mpira, mkiwa mmeshinda kisha anatokea mtu na kuanza kuutia dosari ushindi wenu inauma. Hata mchezaji aliyefunga Hatrick hajisikii vizuri. Wadau watoe ushirikiano, kama hawawezi wakae kimya’.

ENG. HERSI: YANGA TUKO TAYARI KUMWACHA FEI TOTO AENDE…VYUMA VINAKUJA ZAIDI… KOCHA MPYA MRENO SIMBA APEWA MECHI MAALUMU…ISHU YA SAIDO KUTUA MSIMBAZI IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply