Habari za michezo

FT:YANGA SC 2-0 MBEYA CITY…..MAYELE AFANYA KILICHOMSHINDA BOCCO…YANGA KAMA ARSENAL TU…

admin November 26, 2022 8:29 pm

KLABU ya Yanga imeendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mbeya City mabao 2-0 na kuwafanya kufika pointi 32 akiwa ameshuka dimbani mara 12.

Fiston Kalala Mayele ameendelea kutikisa nyavu baada ya leo tena kupachika mabao mawili na kumfanya aendelea kushikilia usukani kwa wapachikaji wa mabao ndani ya ligi kuu akifikisha mabao 10.

Bao la kwanza Mayele alifunga dakika 24 ya mchezo kipindi cha kwanza na bao la pili akifunga dakika 79 kipindi cha pili.

Kwa matokeo haya Yanga SC imefikisha mechi 49 za Ligi Kuu bila kupoteza , rekodi ambayo kwa pale Uingereza inashikiliwa na klabu ya Arsenal.

WORLD CUP: ALIYESHANGILIA KAMA RONALDO MBELE YAKE AFUNGUKA SABABU YA KUFANYA HIVYO.. DODOMA JIJI HALI SI HALI….MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU…’WAFINYWA KISELA’ NA NAMUNGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply