Habari za michezo
SADIO KANOUTE ‘AMBALAGAZA’ MZAMIRU SIMBA…JAMBO LAKE LAENDA KAMA ALIVYOTAKA…
admin
December 2, 2022
7:08 pm
Kiungo wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki mwezi Novemba akiwaangusha wazawa, beki Shomari Kapombe na kiungo Muzamil Yassin.
Kwa ushindi huo, Kanoute aliye katika msimu wake wa pili Simba SC atakabidhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.