Kikosi cha Simba SC Msimu huu wa 2022/23
Habari za michezo

‘USHIRIKINA’ WAMPONZA BEKI SIMBA…

admin December 2, 2022 3:36 pm

Kocha wa Yanga, Mohamed Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu na faini ya 500,000 kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno Mwamuzi wa Kati na wa Akiba katika mchezo dhidi ya Ihefu.

Kamati ya TPLB imesema Nabi aliendelea kuwashambulia licha ya kuonywa kwa kadi ya njano.

Katika hatua nyingine mlinzi wa kushoto wa Simba SC, Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu na faini ya shillingi 500,000 kwa kosa la kuingia Uwanjani masaa 6 kabla ya mchezo dhidi Mbeya City na kumwaga vitu vyenye asili ya unga unga .

Adhabu imetolewa kufata kanuni ya 41:5 ( 5.5) ya Ligi Kuu ya udhibiti wachezaji.

Aidha Timu ya Simba imetozwa faini ya Shillingi milioni moja kwa kosa la baadhi ya wachezaji wake kuingia Uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi.

KUTOKA QATAR: SENEGAL WAINGIA MATATANI….FIFA WAANZA UCHUNGUZI… BAADA YA KUTIMULIWA KIMYA KIMYA YANGA…ZAHERA ALA SHAVU POLISI TZ…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply