Wateja ambao wanapata nafasi yakujishindia zawadi hizi ni wale wanaonunua TECNO Camon 19 au Spark 9 ndani ya kipindi hiki cha promosheni ya Zigo la Disemba, vile vile zawadi nyengine kama earphone, Mabegi na Miamvuli yenye nembo ya TECNO hutolewa papo hapo.
Tembelea maduka yote ya simu yenye promosheni Dar es Salaam na Mikoani ili kujishindia zawadi tajwa. Au wasiliana nao kupitia 0744545254, 0678035208 au tembelea @tecnomobiletz twitter, @tecnomobile facebook au @tecnomobiletanzania IG.