Habari za Simba
Habari za michezo

KAMA ULIKUWA HUJUI…UKIACHA KUWA KUNDI C..HAWA HAPA NI WABABE WA SIMBA CAF…

admin December 12, 2022 9:27 pm

Klabu ya Simba imepangwa kundi C katika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika leo nchini Misri.

Katika kundi hilo C, Simba imepangwa na timu za Raja Casablanca (Morocco), Horoya (Guinea) na Vipers (Uganda).

Mechi za mzunguko wa kwanza hatua ya makundi zitaanza kupigwa Februari 10 na Februari 11, 2023.

Mtiririko mzima wa makundi upo kama unavyoonekana hapa chini;

KUNDI A: Wydad AC Petro Atletico JS Kabylie AS Vita

KUNDI B: Al Ahly Mamelodi Sundowns Al Hilal Coton Sport

KUNDI C: Raja CA Horoya AC Simba Vipers

KUNDI D; Esperance Zamalek CR Belouizdad Al Merrikh

MAPEEMA KABISA…YANGA WAANZA ‘KUWAPIGA NDOIGE’ AZAM FC…MAYELA ATAJWA… BAADA YA MAKUNDI CAF KUTOKA….VIGOGO SIMBA NA YANGA WATUNISHIANA MISULI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply