Habari za michezo
TETESI…BAADA YA SIMBA NA YANGA KUMSUSA….WACONGO WAMVUTA GEORGE MPOLE KWAO…
admin
December 12, 2022
4:33 pm
Wakati mshambuliaji George Mpole akizua sintofahamu kufuatia kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Geita Gold, Jana ametua nchini DR Congo kukamilisha dili lake na moja ya klabu kubwa ya huko.
Taarifa za uhakika zinadai zaidi ya asilimia 80 ni kwamba Mpole ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita ametua Jijini Lubumbashi tayari kwa kujiunga na matajiri wa FC Lupopo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.