Burudani
Tukiwa tumebakiwa na siku chache kuhitimisha mchuano huu wa kombe la dunia TECNO inakuhabarisha campaign ya ‘Sambaza furaha’ bado inaendelea. Post picha ya umpendae ikiambatana na ujumbe mzuri #Sambazafuraha @tecnomobiletanzania au unaweza jizawadia wewe mwenyewe kwa kupost picha yako ikiambatana na ujumbe mzuri kisha tag na kuhashtag kama inavyojieleza hapo juu.
Zawadi zinatolewa kila siku kwa mshiriki ambaye ujumbe wake umeonekana kuvutia wengi na kupata likes na comments nyingi, kila siku hadi Kuelekea Kombe la Dunia simu aina ya TECNO Camon 19 na Spark 9 zitaendela kutolewa kwa washiriki wanaokidhi vigezo.
Tembelea @tecnomobiletanzania au piga nambari 0744545254, 0678035208 Kwa maelezo zaidi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.