Burudani
Tukio la pili na la kusisimua zaidi ni Ushindi mnono walio lala nao baadhi ya wateja waliojishindia TV inch 65 na Friji kubwa ya kisasa, washindi hawa wanaofahamika kwa majina Grace, Judithi na Iddy Omary wamejishindia zawadi hizi baada ya kufanya manunuzi ya simu kati ya hizi Infinix NOTE 12, NOTE 12 vip, ZERO ULTRA na HOT 12.
Washindi wameonesha kufurahia kupata zawadi na kupata nafasi ya kukutana na mchezaji wao pendwa, Hata wewe unaweza kutimiza ndoto zako kabla ya mwaka kuisha, Unachotakiwa kufanya ni kufika kwenye maduka yetu nunua simu na upate nafasi ya kushinda zawadi kem kem lakini pia unaweza kushiriki kenye challenge ya Piga Utoboe inayoendeshwa kwenye ukurasa wa instagram wa @Infinixmobiletz shiriki na umalize mwaka ukiwa umetoboa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.