Habari za michezo

ACHANA NA UBINGWA TU…ARGENTINA WAMEKOMBA PIA TUZO HIZI ZA MAANA JANA…

admin December 19, 2022 7:33 am

TIMU ya Taifa ya Argentina imekabidhiwa taji  baada ya kushinda Kombe la Dunia 2022 Qatar likiwa ni la tatu kwao.

Ushindi wao wa penalti 4-2 dhidi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa umepeleka furaha kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao.

Lionel Messi nahodha wa Argentina ametwaa tuzo ya mpira wa dhahabu huku nyota Mbappe wa Ufaransa yeye akitwaa kiatu cha ufungaji bora.

Kwa upande wa tuzo ya kipa bora ipo mikononi mwa Emiliaono Martinez ambaye ni kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina.

Zilikuwa dakika 120 za kukata na shoka ambapo ngoma ilikamilikwa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na Mbappe kasepa na mpira baada ya kufunga hat trick.

MO DEWJI AMLETA STRAIKA MGHANA…SAKHO NA CHAMA BALAA ZITO…YACOUBA APEWA MAPINDUZI…. LICHA YA KUIBUKA NA GOLI 5 …HIZI HAPA REKODI ZA KIBABE ZILIZOWEKWA NA SIMBA JANA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply