Home Habari za michezo KUHUSU ISHU YA KUJIONDOA SIMBA SC…MO DEWJI AIBUKA NA HILI…AFUNGUKA A-Z…

KUHUSU ISHU YA KUJIONDOA SIMBA SC…MO DEWJI AIBUKA NA HILI…AFUNGUKA A-Z…

Habari za Simba

Licha ya minong’ono inayoendelea chini kwa chini kuwa mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba anafikiria kujiondoa lakini hilo linaweza lisiwe na ukweli ndani yake.

Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji kupitia akaunti ya Instagram ameandika;

“Vaibu la juzi lilikuwa zuri sana katika fainali Kombe la Dunia. Nina furaha kwa Argentina ila mafanikio ya Simba ndio yananipa furaha zaidi ????,”

Ujumbe huu wa Mo ni ishara tosha kuwa ana furaha kuwepo Simba na mafanikio ya Simba ndicho kitu anachokihitaji.

SOMA NA HII  UNAAMBIWA HII SIMBA YA MO DEWJI NI BALAA..WALITAKA KUMPA MSUVA MIL 229..ISHU NZIMA ILIKUWA HIVI...