Habari za Yanga
Habari za michezo

FEI TOTO AENDELEA ‘KUIDELETE’ YANGA SC KIAINA…AKATAA KUTAMBULIKA KAMA MCHEZAJI WAO…

admin December 26, 2022 1:22 pm

Aliyekuwa Mchezaji nyota wa Yanga SC Feisal Salum Abdallah #FeiToto ambae amekua akihusishwa kujiunga na klabu ya Azam Fc ,amefuta utambulisho wa kuwa mchezaji wa Yanga sc kwenye bio yake katika mtandao wa instagram.

Awali mchezaji huyo alojitambulisha kama mchezaji wa klabu ya @yangasc na timu ya taifa ya Tanzania, kabla ya kuondosha utambulisho huo na kuacha utambulisho wa kuwa mchezaji wa timu ya taifa pekee.

MGUNDA: SIMBA SC HATAYUMBA KISA PHIRI HAYUPO…TUNAVIFAA VYA MAANA… FT: KMC 1 – 3 SIMBA SC…..BOCCO AANZA KURUDI…NTIBAZOKINZA APIGWA JUKWANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply