Habari za michezo
BREAKING NEWS:…MKWASA ATEMANA NA KINA MASAU BWIRE…CHANZO HIKI HAPA…
admin
December 5, 2022
11:45 am
Kocha Charles Boniface Mkwassa Master ameamua kujiuzulu Ruvu Shooting ambayo msemaji wake ni Masau Bwire baada ya mwenendo usioridhisha.
Mkwassa ametangaza hayo kupitia Sports HQ ya EFM muda mfupi uliopita ambapo amesema anapisha jahazi hilo lichukuliwe na mwingine.
Kwenye msimamo wa Ligi Kuu, Ruvu wapo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 11, nafasi moja kutoka mkiani kunakoshikiliwa na Polisi Tanzania wenye pointi 9.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.