Cristiano Ronaldo
Habari za michezo

BAADA YA KUTAMBULISHWA…RONALDO AANZA KUWAPA MASHARTI WAARABU…

admin January 4, 2023 8:18 pm

Rais wa Klabu ya Al Nassr, Musalli Al Muammar amesema kuwa staa wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ameomba atendewe sawa na wachezaji wenzake ndani ya kikosi, asipendelewe.

“Wakati wa makubaliano, Ronaldo aliomba atendewe sawa na wachezaji wengine kikosini, kwenye upande wa zawadi za motisha na kanuni za timu.”- Musalli Al Muammar

Rais huyo wa Al Nassr ameongeza kuwa mshahara wake ni wa juu zaidi, huku akishindwa kutaja kiasi halisi cha fedha na kuongeza makubaliano yao yanamanufaa ya faida za kibiashara pia.

“Makubaliano na Ronaldo hayaishii kwenye mpira pekee, atasaidia pia kwenye Al Nassr Club Academy mpango ambao tumepanga pamoja na kuiwakilisha historia ya klabu.

SAKATA LA FEI TOTO KUITEMA YANGA SC…ABDI KASSIM KAIBUKA NA HILI LA KWAKE… DILI LA MUDATHIRI…HIVI NDIVO YANGA WALIVYOITESA SIMBA…FEI TOTO AKUBALI YAISHE…AILILIA TFF….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply