Ronaldo and Vincent
Habari za michezo

KISA USAJILI WA RONALDO…AL-NASSR YAMFUKUZA MCHEZAJI MWEUSI…

admin January 8, 2023 3:11 pm

Klabu ya Al-Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia imekatiza mkataba wa mshambuliaji wa Cameroon Vincent Aboubakar ili kumpisha straika mpya Cristiano Ronaldo.

Kwa mujibu wa kanuni za ligi hiyo, klabu zinaruhusiwa tu kuwa na wachezaji wanane wasio raia wa Saudi Arabia.

Kabla ya ujio wa Ronaldo, Al-Nassr ilikuwa imefikisha idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kwa hivyo ilikuwa lazima mmoja wao angetimuliwa ili kutengeneza nafasi ya nyota huyo wa Ureno.

MGUNDA ASHINDWA KUJIZUIA YALIYOTOKEA SIMBA…AWATAJA WACHEZAJI WALIOHUSIKA…. RASMI…MSUVA NA RONADLO KUKIPIGA PAMOJA…ISHU NZIMA IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply