Habari za Simba
Habari za michezo

KUHUSU HATMA YA BARBARA NDANI A SIMBA…MO DEWJI AMALIZA KAZI MAPEMAA…ISHU IKO HIVI…

admin January 12, 2023 1:31 pm

Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ amewashukuru wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wanaomaliza muda wao na amewatakia heri wanachama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari 29.

“Namshukuru Afisa Mtendaj Mkuu wetu, Barbara Gonzalez kwa kazi nzuri aliyoifanya naaamini ataendelea kuwa Simba na sisi tutaendelea kumpa ushirikiano,” amesema Mo.

Mwisho kabisa Mo amewataka wachezaji kutosikiliza maneno ya watu kuhusu yeye na kwani bado yupo sana na anawapenda na anaipenda mno Simba.

Mo ameyasema hayo akiwa na timu ya @simbasctanzania ambayo imekita kambi ya wiki moja kwaajili ya mashindano mbalimbali.

WAKATI TFF WAKIMRUDISHA YANGA…FIFA KUMPA KIBALI FEI TOTO CHA KUCHEZA POPOTE… AUSSEMS ALALAMIKA KUFANYIWA UHUNI….ATOA KAULI ZA KASHFA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply