Habari za Simba
Habari za michezo

SIKU CHACHE BAADA KUSEPA SIMBA….MGUNDA ATAJA GONGWA LINALIMTESA OKWA…

admin January 18, 2023 4:54 pm

Nyota Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini.Hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ingizo hilo jipya kutokana na kushindwa kuonyesha makeke uwanjani.

Sababu kubwa ya kukwama kufanya vizuri ni kusumbuliwa na majeraha ambapo alitumia muda mwingi kupambania hali yake kabla ya kuanza kurejea mdogomdogo.

kwa mujibu wa Juma Mgunda ambaye ni kocha msaidizi wa Simba, hivi karibuni aliweka wazi kuwa sababu kubwa ya Okwa kutoonekana uwanjani ni kusmbuliwa na nyonga.

“Nimekuwa nikisema mara kwa mara kuwa Okwa hayupo fiti na anasumbuliwa na nyonga hivyo anapambania hali yake akitengamaa atarejea uwanjani,”.

Akiwa na Simba kwenye mechi za ligi ni mbili alicheza na kuyeyusha dakika 13 hakupata nafasi ya kufunga wala kutengeneza nafasi ya bao.

Mwingine ambaye yupo ndani ya Ihefu ni Victor Ackpan ambaye alikuwa akicheza pamoja na Okwa wapo hapo kwa mkopo.

KISA USAJILIWA BALEKE….MOSES PHIRI AANIKA WASIWASI WAKE SIMBA…AFUNGUKA A-Z… KISA USAJILIWA DOUMBIA….BIGIRIMANA ATAKA MKWANJA WAKE WOTE YANGA….ATUMA BARUA NZINTO…..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply