Habari za Yanga
Habari za michezo

BAADA YA KUONA KIWANGO CHA MAYELE…MUSONDA KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HILI..

admin January 20, 2023 1:43 pm

Mshambuliaji mpya wa Wananchi, Kennedy Musonda amesema kuwa anaifahamu Yanga tangu miaka sita iliyopita wakati akicheza Zanaco FC ya nyumbani kwao Zambia.

Musonda amesema hayo wakati akihojiwa na Yanga TV ikiwa ni mahojiano yake ya kwanza tangu ametua Tanzania kuwatumikia Mabingwa hao wa kihistoria nchini Tanzania.

“Ninaifahamu Yanga tangu mwaka 2017, nilikuja hapa Tanzania na Timu yangu ya Zanaco kucheza michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika, nilishangaa kuona timu ina mashabiki wengi namna ile, sisi ni timu kubwa na ina mashabiki wengi.

“Wapo wachezaji baadhi wa Yanga ninaowafahamu kama kaka yangu Lazarous Kambole, yupo Aziz Ki ninamkubali sana, nilianza kumuona mwaka jana kwenye mashindano ya CAF, nilipenda magoli yake anavyofunga, mwingine ni Fiston Mayele, yule mtu ni hatari sana,” amesema Musonda.

KUHUSU FEI TOTO KUREJEA YANGA…STORI MPYA NI HII HAPA…..MUDA SI MREFU JAMBO LINAIVA.. KWA TAKWIMU HIZI….YANGA WALIIINGIA CHA KIKE KWA MORRISON…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply