Imani Kajula CEO mpya wa Simba
Habari za michezo

MRITHI WA BARBARA SIMBA HUYU HAPA….NI MTAALAMU KWELI KWELI…

admin January 26, 2023 1:58 pm

Klabu ya Simba imemtangaza Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo kwa Mkataba wa miezi Sita.

Kajula anachukua nafasi iliyo wazi baada ya kuondoka kwa Aliekuwa Afisa Mtendaji, Barbara Gonzalez ambae alijiuzulu katika nafasi hiyo Desemba 10 mwaka 2022.

Kabla ya kujiunga na Simba Kajula alikuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya EAG Group tangu 2013.

Kajula alipata kuwepo kwenye Kamati ya Maandalizi ya Michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyofanyika nchini mwaka 2019.

JESHI LA SIMBA LATIMIA….MASTAA WALIOKUWA NNJE WARUDI KIVINGINE…. KIMENUKAA YANGA…NABI ALIA NA FEI TOTO ISHU YA TIMU KUSHINDA KWA SHIDA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply