Habari za Yanga
Habari za michezo

RASMI…BAADA YA KUCHOSHWA NA TABIA ZAKE..NABI AMPIGA CHINI MAZIMA MORRISON…ISHU IKO HIVI…

admin February 6, 2023 1:55 pm

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema uwezekano wa winga wake Bernard Morrison kusafiri na wenzake kwenda Tunisia kuwafuata wapinzani wao US Monastir ni mdogo sana kutokana na kile alichokisema ameumia.

Nabi alisema Morrison aliumia akiwa kwao Ghana na kwamba atakuwa nje kwa muda mrefu, lakini akawashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuwa Yanga itaendelea na maisha kama kawaida.

“Sioni uwezekano wa Morrison kusafiri na timu, nafikiri huyo ndio mchezaji tunayeweza kumkosa katika safari hii lakini nimekueleza kuwa nafasi yake itazibwa,” alisema Nabi na kuongeza;

“Kuna mpango tumeshaanza kuufanyia kazi jinsi ya kutafuta mtu muafaka wa kuziba nafasi yake na anaweza kuwasapraizi watu siku ya mchezo wetu wa kule.”

SAKATA LA YANGA NA SPORTPESA….UKWELI MKUU NI HUU HAPA…KUNA UPANDE UTALIA ‘SOON’… KISA SIMBA…TRY AGAIN AUWA NDEGE WAWILIKWA JIWE MOJA….APEWA SHAVU JIPYA FIFA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply