Mashabiki wa Simba
Habari za michezo

MASHABIKI SIMBA KUPEWA CHAKULA NA VINYWAJI MECHI IJAYO NA WAARABU..UTARATIBU UKO HIVI…

admin February 13, 2023 12:42 pm

Kiingilio cha chini ya mchezo  wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Raja Casablanca utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Februari 18 kitakuwa Sh. 5000.

Viingilio vimetangazwa mapema ili kuwapa nafasi mashabiki kununua mapema sababu ya mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanjani kuipa sapoti timu.

Viingilio ni kama ifuatavyo:

Mzunguko Sh. 5000
VIP B & C Sh. 20000
VIP A Sh. 30,000
Platinum Sh. 100,000
Platinum Plus Sh. 150,000

Vitu ambavyo atavipata atayenunua tiketi za Platinum ni.

1. Escort kutoka Hoteli ya Hyatt Regency mpaka uwanjani.

2. Kifurushi maalum kutoka Simba.

3. Chakula na Vinywaji ukiwa uwanjani.

Ili kupata tiketi za Platnum na Platnum Plus piga namba hii +255742771311.

Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia ya mtandao muda mfupi ujao vitatangazwa vituo ambavyo zitapatikana.

KUELEKEA MECHI NA WAARABU…CAF WAZUIA ‘JANJA JANJA’ YA SIMBA…MSIMAMO WAO HUU HAPA.. KUELEKEA MECHI NA WAMOROCCO…JEMEDARI SAIDI AMUUMBUA HADHARANI MBRAZILI WA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply