Jezi Mpya za Simba Kimataifa
Habari za michezo

KUHUSU KUCHELEWA KWA JEZI MPYA ZA SIMBA…ACHANA NA ‘TANATALILA’…UKWELI UKO HIVI AISEE…

admin February 15, 2023 6:50 pm

Simba walizindua jezi mpya kwa ajili ya mechi zao za Kimataifa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia hatua ya makundi.

Tangu kuzinduliwa kwa jezi hizo bado kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Mashabiki kuhusiana na jezi hizo na upatikanaji wake.

Sasa Kitendawili hicho kimeteguliwa na Meneja wa Habari na ,Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally akizungumza kupitia Wasafi Fm leo Februari 15 amesema;

“Kutokana na sherehe za mwaka mpya China, usafirishaji mizigo ulikuwa wakusuasua ikabidi Vunjabei aende China kuhakikisha Jezi hazichelewi ila zikaja kukwama Ethiopia kwasababu ya Ndege za Mizigo kuchelewa”

“Lakini niwajuze Wanasimba zetu mpya zitaingia nchini siku si nyingi kabla ya Mechi yetu dhidi ya Raja Casablanca” amesema Ahmed Ally

MASIKINI MWAKINYO WEEHH…AZIDI KUPOROMOKA KWENYE VIWANGO VYA MABONDIA DUNIANI… KUELEKEA MECHI NA WAMOROCCO…SIMBA WAULINDA USIKU NA MCHANA UWANJA WA MKAPA…ISHU IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply