Habari za Yanga
Habari za michezo

FT: KMC 0-1 YANGA SC…MZINZE AFANYA LILILOMSHINDA JOHN BOCCO JANA…MASTAA WAPIGWA BENCHI…

admin February 22, 2023 6:08 pm

KLABU ya YAnga imeendelea kujiweka katika sehemu zuri kutetea taji lake la Ligi Kuu NBC mara baada ya kuinyuka KMC 1-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Yanga Sc iliwapumzisha nyota wao waliocheza kwenye mechi ya Kimataifa akiwemo Mayele, Bangala, Moloko, Job, Lomalisa, Mudathir, Pamoja na Aucho.

Yanga sc ilianza kupata bao dakika ya 38 ya mchezo kupitia kwa nyota wao kinda Clement Mzize ambaye alianza na baadae kumpIsha Fiston Mayele kipindi cha pili kwenye mchezo huo.

BALAAH HILI….!! GWIJI GENK AMKATAA SAMATTA HADHARANI…AFUNGUKA A-Z JINSI TIMU ITAKAVYOYUMBA… AHMED ALLY: TUWE WA KWELI…WACHEZJI WENGI WA SIMBA WAMECHOKA MNOO..HAWAWEZI TENA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply